Orléans
From Wikipedia
Orléans ni mji wa Ufaransa. Iko mwambaoni wa mto Loire 130 km kusini ya Paris. Orléans ni makao makuu ya wilaya (kifaransa: departement) ya Loiret katika Mkoa wa Centre. Mji una chuo kikuu ni pia makao ya dayosisi ya Orleans yenye kanisa kuu la kihistoria lenye sifa kubwa za kisanii lililojengwa 1278 hadi 1329.
[edit] Historia
Jina la Orleans limejulikana hasa pamoja na habari za Jeanne d'Arc aliyeitwa pia Bikira wa Orleans kwa sababu aliongoza jeshi la kifaransa lililoshinda Waingereza waliotaka kuteka mji mnamo mwaka 1429 katika Vita ya miaka 100.
[edit] Jiografia
Orléans ina wakazi 113.126 (mwaka wa 1999).
[edit] Viungo vya nje
Makala hiyo kuhusu "Orléans" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Orléans kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |