Saul Bellow
From Wikipedia
Saul Bellow (10 Juni, 1915 – 5 Aprili, 2005) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchini Kanada lakini. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1976 alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya riwaya yake "Kipaji cha Humboldt" (kwa Kiingereza Humboldt's Gift) iliyotolewa mwaka wa 1975. Mwaka uleule wa 1976 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.