Simon Bolivar
From Wikipedia
Simon Bolivar alikuwa mwanasiasa na mwanajeshi katika Amerika ya Kusini aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania. Nchi mbalimbali humkumbuka kama baba wa taifa lao.
Alizaliwa 24 Julai 1783 mjini Caracas (wakati ule: Granada mpya, leo: Venezuela) akaaga dunia mjini Santa Marta (Kolombia) tar. 17 Desemba 1830.
Kama jemadari alishinda jeshi la Hispania kati ya 1810 na 1820.
Bolivar alikuwa kwa nyakati mbalimbali