Talk:Tanganyika
From Wikipedia
Makala hii inatofautisha maana za Tanganyika lakini bahati mbaya mahali ambapo imerejea makala ya Tanzania nayo makala ya "Tanzania" inarejea makala hii ya "Tanganyika" tena. Maana yake hakuna makala kuhusu Tangayika wakati wa ukoloni wa Waingereza (1920-61) wala wakati wa uhuru kabla ya muungano (1961-64). Tufanyeje? --Oliver Stegen 18:12, 19 Januari 2007 (UTC)