Tanganyika
From Wikipedia
Tanganyika ni
- Ziwa la Tanganyika kati ya Tanzania na Kongo
- Tanganyika (nchi) ni jina la kihistoria kwa ajili ya Tanzania bara pamoja na visiwa vya Mafia na Kilwa.
- Tanganyika, Kongo ni jina la wilaya ya Tanganyika katika Mkoa wa Katanga wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ufukoni wa Ziwa la Tanganyika.