Thomas Weller
From Wikipedia
Thomas Huckle Weller (amezaliwa 15 Juni, 1915) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Mwaka wa 1954, pamoja na Frederick Robbins na John Enders alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.