Asia ya Magharibi
From Wikipedia
Asia ya Magharibi (inalingana kwa kiasi kikubwa na jina la "Mashariki ya Kati") ni sehemu ya magharibi-kusini ya bara la Asia. Inatajwa kati ya kanda za dunia ya UM.
[edit] Nchi
Nchi zinazotajwa humo ni kama zifuatazo:
- Armenia
- Bahrain
- Cyprus
- Sinai (rasi) (Misri)
- Palestina
- Iran
- Iraq
- Israel
- Jordan
- Kuwait
- Lebanon
- Oman
- Pakistan (Baluch pekee)
- Qatar
- Saudia
- Syria
- Falme za Kiarabu
- Yemen
- Sehemu za Asia za