Yemen
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Allah, al-Watan, at-Thawra, al-Wehda (Mungu, taifa, mapinduzi, umoja) |
|||||
Wimbo wa taifa: Jamhuri ya Maungano | |||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Sana'a |
||||
Mji mkubwa nchini | Sana'a | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali
Rais
Waziri mkuu |
Jamhuri Ali Abdullah Saleh Abdul Qadir Bajamal |
||||
Establishment Unification |
Mei 22 1990 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
527,968 km² (49) kidogo sana |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
20,975,000 (51) 40/km² (160) |
||||
Fedha | Yemeni rial $1 = 198.13 Rials (YER ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .ye | ||||
Kodi ya simu | +967 |
Yemen (Kiarabu: الجمهورية اليمنية ) ni nchi kwenye kusini ya rasi ya Uarabuni. Imepakana na Omani, Saudi Arabia na Bahari Hindi. Nchi za karibu ng'ambo ya mlango wa bahari wa Bab el Mandeb ni Eritrea, Jibuti na Somalia.
Eneo lake ni pamoja na kisiwa cha Sokotra na visiwa 200 vingine.
Hadi 1990 palikuwa na nchi mbili za Yemen ya Kaskazini na Yemen ya Kusini zilizoungana 22 Mei 1990.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Yemen" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Yemen kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |