Azerbaijan
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Azərbaycan Respublikasının Dövlət Himni |
|||||
Mji mkuu | Baku |
||||
Mji mkubwa nchini | Baku | ||||
Lugha rasmi | Kiazeri | ||||
Serikali | Jamhuri Ilham Aliyev Artur Rasizade |
||||
Uhuru Ilitangazwa Ilikamilishwa |
30 Agosti 1991 25 Desemba 1991 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
86,600 km² (ya 114) -- |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 1999 sensa - Msongamano wa watu |
8,411,000 (ya 90) 7,953,438 97/km² (ya 100) |
||||
Fedha | Manat (AZN ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+4) (UTC+5) |
||||
Intaneti TLD | .az | ||||
Kodi ya simu | +994 |
Azerbaijan (pia: Azabajani, Azebajani) ni nchi ya Kaukazi kati ya Ulaya na Asia. Imepakana na bahari ya Kaspi, Urusi, Georgia, Armenia na Uajemi.
Azerbaijan ni pia jina la mikoa miwili katika Uajemi ya magharibi (Azerbaijan ya Mashariki na Azerbaijan ya Magahribi); nchini Uajemi takrian robo ya wakazi ni Waazeri kwa jumla Waazeri katika Uajemi ni wengi kushinda Azerbaijan yenyewe.
Eneo la Nakhichevan ni sehemu ya Azerbaijan ndani ya Armenia inayopakana na Uturuki na Uajemi. Eneo la Nagorno-Karabakh ndani ya Azerbaijan linalokaliwa na Waarmenia lilijitangaza nchi huru mwaka 1991 lakini haikutambuliwa na umma wa kimataifa.
Azerbaijan ni nchi mwanachama wa baraza la Ulaya tangu 2001. Hivyo kisiasa inahesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya lakini kijiografia mara nyingi yahesabiwa kuwa sehemu ya Asia ya Magharibi.
Azerbaijan ina historia ndefu lakini siku hizi inakaliwa hasa na Waazeri wanaoongea lugha ambao ni karibu sana na Kituruki na wengi wao ni Waislamu wa dhehebu la Shia.
[edit] Jiografia
Mlima mkubwa ni Bazardüzü kwenye Kaukazi mwenye kimo cha m 4.466. Ziwa kubwa ni Sarisu lenye eneo la km² 67. Mto Kura unapita eneo la nchi na kuishia katika Bahari Kaspi baada ya mwendo wa km 1,515.
Azerbaijan ina visiwa viwili vya Pirallahı na Cilov kwenye Bahari Kaspi. Kwenye rasi ya Abşeron kuna mafuta ya petroli.
Nchi na maeneo ya Ulaya | ||||
---|---|---|---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Eire | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Italia | Jamhuri ya Masedonia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Malta | Moldova | Monako |Montenegro | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikani
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro
|