Grenada
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Ever Conscious of God We Aspire, Build and Advance as One People | |||||
Wimbo wa taifa: Hail Grenada Wimbo la Kifalme: God Save the Queen |
|||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | St. George's |
||||
Mji mkubwa nchini | St. George's | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali
Malkia Gavana Mkuu Waziri Mkuu |
Ufalme wa kikatiba Bunge kwa namna ya Westminster Malkia Elizabeth II Sir Daniel Williams Keith Mitchell |
||||
Uhuru Kutoka Uingereza |
7 Februari 1974 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
344 km² (ya 203) 1.6 |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
103,000 (ya 193) 259.5/km² (ya 45) |
||||
Fedha | East Caribbean Dollar (XCD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC-4) |
||||
Intaneti TLD | .gd | ||||
Kodi ya simu | +1-473 |
Grenada ni nchi ya kisiwani katika kusini ya Bahari ya Karibi. Iko kaskazini ya Trinidad na Tobago na kusini ya Saint Vincent. Ni nchi mwanachama wa jumuiya ya madola na mkuu wa Dola ni malkia Elisabeth II wa Uingereza anayewakilishwa kisiwani kwa Gavana Mkuu.
Wakazi walio wengi (zaidi ya 80%) ni wa asili ya kiafrika wametokana na watumwa waliopelekwa hapa kulima mashamba ya miwa au ni chotara wa watumwa wale na mabwana Wafaransa.
[edit] Jiografia
Neo la nchi ni kisiwa kikuu cha Grenada pamoja na visiwa kadhaa za funguvisiwa ya Grenadini kama vile Carriacou, Petit Martinique, Rhonde Island na vingine vidogo. Idadi kubwa ya wakazi iko Grenada penyewe pamoja na miji ya St. George's (mji mkuu), Grenville na Gouyave.
Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno vyenye ardhi yenye rutba. Grenada ina milima na mkubwa ni mlima St. Catherine mwenye 840 m.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Grenada" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Grenada kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |