Helsinki
From Wikipedia
Helsinki ni mji mkuu wa Ufini na pia mji mkubwa nchini. Idadi ya wakazi ni manmo 550,000 na kuna jumla la milioni moja katika rundiko la mji.
Helsinki iko kwenye mwambao wa Ghuba ya Ufini ya Baltiki.
[edit] Historia
Manmo 1550 eneo la Helsiniki ilikuwa sehemu ya Uswidi na mfalme wa Uswidi Gustav Vasa aliamuru kujengwa kwa mji mpya. Lakini wakati wa utawala wa Uswidi mji ulioitwa kwa Kiswidi "Helsingfors" haukuendela sana.
Tangu 1809 Ufini ilikuwa chini ya utawala wa Urusi na Kaisari Alexander I wa Urusi aliamuru kuhamisha mji mkuu wa jimbo hili kwenda Helsinki na kujenga mji upya. Tangu wakati ule Helsinki imekua kushinda mji wa Turku uliowahi kuwa mji mkubwa katika Ufini hadi wakati ule.
Tangu mwaka 1917 Helsinki imekua mji mkuu wa nchi mpya ya Ufini.
[edit] Jiografia
Helsinki imesambaa mwambaoni wa hori mbalimbali na visiwa vya Ghuba ya Ufini.
[edit] Viungo vya Nje
Go to City of Helsinki web site - english version Go to City portal of Helsinki - english version