Kai Siegbahn
From Wikipedia
Kai Manne Börje Siegbahn (amezaliwa 20 Aprili, 1918) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswidi. Alikuwa mtoto wa Karl Manne Siegbahn. Hasa alichunguza mnururisho wa kiini cha atomu. Mwaka wa 1981, pamoja na Nicolaas Bloembergen na Arthur Schawlow alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.