Kirumanj
From Wikipedia
Kirumanj (kwa lugha yenyewe Rumantsch, Romansch au Romanche) ni moja kati ya lugha za Kirumi na kati ya lugha nne za kitaifa nchini Uswisi pamoja na Kijerumani, Kifaransa na Kiitalia.
Idadi ya wasemaji ni takriban watu 50,000 katika jimbo la Graubunden.
Kirumanj hufanana na Kiitalia. Wasemaji wako hasa vijijini katika milima ya Alpes.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Kirumanj" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kirumanj kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |