Mvua
From Wikipedia
Mvua ni matone ya maji yanayoanguka chini kutoka mawingu angani. Kama matone yafikia kipenyo cha zaidi 0.5 mm huitwa mvua. Kama matone ni madogo zaidi kunaitwa manyonyota .
Mvua ni aina ya usimbishaji.
Makala hiyo kuhusu "Mvua" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Mvua kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |