Rio de Janeiro
From Wikipedia
Rio de Janeiro ni mji mkubwa wa pili nchini Brazil baada ya São Paulo.
Ilikuwa mji mkuu wa nchi hadi 21 Aprili 1960. Leo ni mji mkuu wa jimbo la shirikisho la Rio de Janeiro. Mwaka 2000 rundiko la jiji lilikuwa na wakazi 5,473,909.
Rio de Janeiro ni mji wa Brazil unaojulikana zaidi kote duniani. Ni kitovu cha utalii na cha utamaduni. Kanivali yake inavuta wageni wengi kila mwaka. Mlima wa Corcovado unabeba Sanamu ya Mwokozi ambayo ni sanamu kubwa ya Yesu yenye kimo cha 30 m.
[edit] Viungo vya Nje
- virtual photo tour through Rio de Janeiro and neighbourhood with www.riodejaneirophotoguide.com
- Prefeitura da Cidade do Rio de Janeiro Rio de Janeiro's City Hall. Includes statistical informations about the city, about Carnival, and municipal laws. In Portuguese language.
- Rio de Janeiro at Wikitravel in English