Tbilisi
From Wikipedia
Tbilisi (pia: Tiflis; Kigeorgia თბილისი ) ni mji mkuu wa Georgia. Iko kando la mto Kura (Mtkvari) kwa 41°43′N 44°47′E kwenye kimo cha 380 hadi 727 m juu ya UB.
Jiji lina wakazi milioni 1.345.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Tbilisi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Tbilisi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |