Visiwa vya Virgin
From Wikipedia
Visiwa vya Virgin ni kundi la visiwa vidogo katika Bahari ya Karibi ambavyo ni sehemu za Antili ndogo karibu na Puerto Rico.
Jina lamaanisha "Visiwa vya bikira". Lilitolewa kwa visiwa hivi na Kristoforo Kolumbus kwa heshima ya Mtakatifu Ursula na bikira zake mashahidi wa imani ya kikristo. Kolumbus aliita mahali pengi alipofika kwa majina ya Biblia au watakatifu wa kanisa katoliki.
Funguvisiwa imegagiwa kati ya Uingereza na Marekani.
Hivyo kuna:
Wakati mwingine visiwa upande wa mashariki ya Puerto Rico huitwa
- Visiwa vya Virgin vya Hispania