Artturi Ilmari Virtanen
From Wikipedia
Artturi Ilmari Virtanen (15 Januari, 1895 – 11 Novemba, 1973) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Finland. Baadhi ya utafiti mwingi alichunguza virusi vikaavyo kwenye udongo. Mwaka wa 1945 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.