Bunge
From Wikipedia
Bunge ni chombo cha kutunga sheria na pia ni mmoja wa mihimili mitatu inayounda mfumo wa utawala. Mihimili mingine ni mahakama na serikali. Bunge ni chombo kinachotokana na mfumo wa utawala wa Westminster. Mfumo huu ambao umerithiwa na nchi nyingi duniani umetoka nchini Uingereza. Kutokana na mfumo huu kutoka nchini Uingereza, mara nyingi Bunge la Uingereza huitwa "Mama wa Bunge" duniani. Bunge la kwanza nchini Uingereza liliundwa wakati wa utawala wa Mfalme Henry III katika karne ya 13. Bunge hilo lina sehemu mbili, Bunge la Makabwela na Bunge la Mabwanyeye.
Katika nchi nyingi zinazofuata mfumo wa Westminster, Waziri Mkuu huwa ndio kiongozi mkuu wa serikali bungeni.
[edit] Mabunge ya Afrika
- Orodha ya Wabunge wa Tanzania
[edit] Viungo vya nje
- (en) Bunge la Tanzania
- (en) Bunge la Afrika Kusini
- Bunge la Umoja wa Afrika
- (en) Bunge la Ghana
- (en) Bunge la Uingereza
- (en) Bunge la Ulaya