Bunge la Umoja wa Afrika
From Wikipedia
Bunge la Umoja wa Afrika ni mkutano wa wawakilishi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika.
Wabunge wake 265 hawapigiwi kura na raia wa nchi wanachama bali wanateuliwa na bunge za nchi wanachama. Kwa sasa kazi ya bunge ni kutoa ushauri tu kwani haina mamlaka ya kutunga sheria.
Makao makuu ya bunge yapo mji wa Midrand (Afrika Kusini, sasa kwa muda katika jengo la Gallagher Estate katikati ya Johannesburg na Pretoria. Afrika Kusini inalipa gharama za makao na za ofisi ya bunge.
Mkutano wa kwanza ulifanyika Machi 2004. Mwenyekiti wa Bunge ni Gertrude Mongella kutoka Tanzania.
Ana makamu wanne kutoka kanda nne za afrika ndio: