Grazia Deledda
From Wikipedia
Grazia Deledda (30 Septemba, 1871 – 15 Agosti, 1936) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Italia. Hasa aliandika riwaya ambazo wahusika wake wametoka kisiwa cha Sardinia. Mwaka wa 1926 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.