Juan Ramón Jiménez
From Wikipedia
Juan Ramón Jiménez (24 Desemba, 1881 – 29 Mei, 1958) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Hispania. Mwaka wa 1956 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
[edit] Viungo vya nje
ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: