Kilindi
From Wikipedia
Kilindi ni kati ya wilaya 7 za Mkoa wa Tanga katika Tanzania. Imepakana na wilaya ya Handeni upande wa mashariki, Mkoa wa Kilimanjaro upande wa magharibi-kaskazini na Mkoa wa Morogoro upande wa kusini.
Mwaka 2002 ilikuwa na wakazi 144,359.[1]
[edit] Tarafa
Wilaya ya Kilindi ina tarafa 15:
- Jaila
- Kikunde
- Kilindi
- Kimbe
- Kisangasa
- Kwediboma
- Lwande
- Masagalu
- Mkindi
- Msanja
- Mvungwe
- Negero
- Pagwi
- Saunyi
- Songe
[edit] Viungu vya nje
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Kilindi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kilindi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
|
![]() |
---|---|
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Iringa | Kagera | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |