Roger Martin du Gard
From Wikipedia
Roger Martin du Gard (23 Machi, 1881 – 22 Agosti, 1958) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Anajulikana hasa kwa riwaya zake "Akina Thibault" (kwa Kifaransa Les Thibaults zilizotolewa miaka ya 1922-40). Mwaka wa 1937 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.