Saint Kitts na Nevis
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Country Above Self - Nchi mbele ya nafsi ! | |||||
Wimbo wa taifa: "O Land of Beauty!" Wimbo wa Kifalme: "God Save the Queen" |
|||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Basseterre |
||||
Mji mkubwa nchini | Basseterre | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Demokrasia Nchi ya jumuiya ya madola Elizabeth II wa Uingereza Sir Cuthbert Sebastian Dr. Denzil Douglas |
||||
Uhuru Tarehe |
19 Septemba 1983 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
261 km² (ya 207) kidogo sana |
||||
Idadi ya watu - [[Julai 2005]] kadirio - Msongamano wa watu |
42,696 (ya 209) 164/km² (ya 64) |
||||
Fedha | East Caribbean dollar (XCD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .kn | ||||
Kodi ya simu | +1-869 |
Saint Kitts na Nevis ni nchi ya visiwani kwenye visiwa viwili katika Bahari ya Karibi na nchi ndogo kabisa ya Amerika yote.
Mji mkuu wa Basseterre uko kwenye kisiwa cha Saint Kitts. Kisiwa kidogo cha Nevis (jina la zamani ya Kihispania: Nuestra Señora de las Nieves) kipo km 3 kusini-mashariki ya Kitts. Zamani pia kisiwa cha anguilla kiliunganishwa na visiwa hivi.