Samuel Beckett
From Wikipedia
Samuel Barclay Beckett (13 Aprili, 1906 – 22 Desemba, 1989) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ireland. Aliandika kwa Kiingereza na Kifaransa. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake "Kumngojea Godot" (kwa Kifaransa En attendant Godot) iliyotolewa mwaka wa 1952. Mwaka wa 1969 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.