Uruguay
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Libertad o Muerte (Uhuru au Mauti) | |||||
Wimbo wa taifa: Orientales la Patria o la Tumba! | |||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Montevideo |
||||
Mji mkubwa nchini | Montevideo | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri Tabaré Vázquez |
||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
25 Agosti 1825 28 Agosti 1828 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
176,215 km² (ya 90) 1.5 |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
3,463,000 (ya 130) 3,399,237 20/km² (ya 186 1) |
||||
Fedha | Peso ya Uruguay (UYU ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-3) (UTC-2) |
||||
Intaneti TLD | .uy | ||||
Kodi ya simu | +598 |
Uruguay ni nchi ya Amerika Kusini upande wa mashariki ya bara kando la Atlantiki. Imepakana na Brazil na Argentina. Sehemu kubwa ya mipaka ya nje ni maji : mdomo mpana wa mto Rio de la Plata uko upande wa kusini-magharibi na Atlantiki upande wa kusini mashariki.
Mji mkuu ni Montevideo wanapoishi nusu ya wakazi wote ya nchi. Uruguay ni kati ya nchi ndogo kabisa za Amerika Kusini pamoja na Surinam.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Uruguay" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Uruguay kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |