Argentina
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Kihispania: En Unión y Libertad ("Katika umoja na uhuru") |
|||||
Wimbo wa taifa: Oíd, mortales, el grito sagrado: Sikilizeni mlio mtakatifu ewe ninyi wenye kufa |
|||||
Mji mkuu | Buenos Aires |
||||
Mji mkubwa nchini | Buenos Aires | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri Néstor Kirchner (Makamu Daniel Scioli) |
||||
Uhuru Mapinduzi ya Mei Tangazo la uhuru wa Argentina imetambuliwa |
25 Mei 1810 9 Julai 1816 1821 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,780,400¤ km² (ya 8) 1.1 |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
39,921,833 (ya 32) 36,260,130 14/km² (ya 195) |
||||
Fedha | Peso ya Argentina (ARS ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
ART (UTC-3) ARST (UTC-3) |
||||
Intaneti TLD | .ar | ||||
Kodi ya simu | +54 |
||||
¤ Argentina ina fitina na Uingereza kuhusu visiwa vya Falkland (Malvina), South Georgia and the South Sandwich Islands na sehemu ya Antaktika. |
Argentina ni nchi kubwa ya pili ya Amerika Kusini yenye eneo la 2,791,810 km² kati ya milima ya Andes upande wa magharibi na Bahari ya Atlantiki upande wa mashariki. Imepakana na Paraguay, Bolivia, Brazil, Uruguay na Chile.
Kuna madai dhidi Uingereza juu ya visiwa vya Falkland (Malvina), South Georgia and the South Sandwich Islands na sehemu ya Antaktika.