Luigi Pirandello
From Wikipedia
Luigi Pirandello (28 Juni, 1867 – 10 Desemba, 1936) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Italia. Alijihusisha hasa na tamthiliya na nadharia yake. Mwaka wa 1934 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Cookie Policy Terms and Conditions >