Niue
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: Ko e Iki he Lagi | |||||
Mji mkuu | Alofi |
||||
Mji mkubwa nchini | |||||
Lugha rasmi | Kiniue, Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Malkia Elizabeth II wa Uingereza Anton Ojala Young Vivian |
||||
Nchi shiriki Katiba ya Niue |
19 Oktoba 1974 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
260 km² () 0 |
||||
Idadi ya watu - Jul 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
2,166 (--) /km² (--) |
||||
Fedha | New Zealand dollar (NZD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-11) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .nu | ||||
Kodi ya simu | +683 |
Niue ni nchi ya kisiwani katika Pasifiki ya kusini. Ni nchi ya kujitawala inayoshiriki na New Zealand inayoratibu siasa ya nje na mambo ya kijeshi.
Niue iko 2,400 km kaskazini-magharibi ya New Zealand kati ya Tonga, Samoa na Visiwa vya Cook. Inahesabiwa kati ya visiwa vya Polynesia ikiitwa "Mwamba wa Polynesia".
Makala hiyo kuhusu "Niue" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Niue kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |