Robert Koch
From Wikipedia
Robert Koch (11 Desemba, 1843 – 27 Mei, 1910) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Mwaka wa 1882 aligundua kirusi kinachosababisha kifua kikuu, na mwaka wa 1883 kirusi kinachosababisha kipindupindu. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.