T. S. Eliot
From Wikipedia
Thomas Stearns Eliot (26 Septemba, 1888 – 4 Januari, 1965) alikuwa mwandishi kutoka nchi za Marekani na Uingereza. Alizaliwa Marekani lakini alikata uraia wa Uingereza mwaka wa 1927. Hasa aliandika mashairi. Shairi lake "Nchi Kame" (kwa Kiingereza The Waste Land) lilitolewa mwaka wa 1922. Mwaka wa 1948 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.