Visiwa vya Mariana ya Kaskazini
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Gi Talo Gi Halom Tase (Kichamoru) Satil Matawal Pacifico (Kikarolini) |
|||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Saipan |
||||
Mji mkubwa nchini | |||||
Lugha rasmi | Kiingereza , Kichamoru, Kikarolini | ||||
Serikali
Mkuu wa Dola
Gavana |
Serikali ya kiraisi Demokrasia George W. Bush Benigno R. Fitial |
||||
Eneo la ng'ambo la Marekani Mkataba |
1975 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
477 km² (ya 195) ‘‘(kidogo sana)’’ |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
80,801 (ya 198) 168/km² (--) |
||||
Fedha | US Dollar (USD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+10) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .mp | ||||
Kodi ya simu | +1 670 |
Visiwa vya Mariana ya Kaskazini ni eneo la ng'ambo la Marekani linalojitawala katika Pasifiki ya magharibi kusini ya Japani. Visiwa 16 vyenye eneo la 463 km³ jumla ni sehemu ya funguvisiwa ya Mariana na vikubwa ni Saipan, Tinian na Rota. Sehemu ya kusini ya funguvisiwa ni Guam ambayo pia ni eneo la ng'ambo la Marekani.
Idadi ya wakazi imefikia 80,362 (2005). Uchumi ni hasa utalii.
[edit] Historia
Wakazi wa kwanza wanaojulikana ni Wachamoru ambao Tangu 1667 visiwa vilikuwa kolonia ya Hispania. Baada ya vita ya Marekani dhidi Hispania kusini ya Mariana ikatwaliwa na Marekani. Kaskazini ikauzwa kwa Ujerumani. Baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia koloni za Ujerumani ziligawiwa kwa nchi mbalimbali na Mariana ya Kaskazini ziliwekwa chini ya utawala wa Japani. Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia visiwa vikawa sehemu ya eneo lindwa la Pasifiki lililotawaliwa na Marekani. 1978 visiwa vikapata madarka ya kujitawala kwa ushirikiano na Marekani. Guam ambapo kuna kituo muhimu cha kijeshi inaendelea kuwa kama koloni ya Marekani.