Japani
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: "Kimi Ga Yo (君が代)" (Utawala wa Kaisari) |
|||||
Mji mkuu | Tokyo |
||||
Mji mkubwa nchini | marundiko ya Toko1 | ||||
Lugha rasmi | Kijapani (Nihongo) | ||||
Serikali
Tenno (Kaisari)
Waziri Mkuu |
Ufalme wa kikatiba Tenno Akihito wa Japani Jun'ichirō Koizumi |
||||
Tarehe za Kihistoria Mwanzo wa Taifa Katiba ya Meiji Katiba ya Japani Mkataba wa San Francisco |
February 11, 660 BCE2 29 Novemba 1890 3 Mei 1947 28 April 1952 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
377,873 km² (ya 62) 0.8% |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2004 sensa - Msongamano wa watu |
128,085,000 (ya 10) 127,333,002 337/km² (ya 30) |
||||
Fedha | Yen (¥) (JPY ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
JST (UTC+9) None (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .jp | ||||
Kodi ya simu | +81 |
||||
1 Yokohama ni mji mkubwa kisheria, lakini marundiko ya Tokyo (pamoja na Yokohama na miji mingine) ni makubwa. 2 Mapokeo ya Kijaponi hudai taifa lilianzishwa siku hiyo na Tenno Jimmu anayesemekana alikuwa Kaisari wa kwanza wa nchi. |
Japan ni nchi ya visiwa katika Pasifiki mbele ya mwambao wa mashariki ya Asia. Wajapani wenyewe hutumia jina la "Nihon" au "Nippon" lenye maana ya "Mwanzo wa jua". Hivyo Japani huitwa pia "Nchi ya Macheo".
Nchi ina eneo la 377.000 km² na wakazi milioni 128. Japani ni kati ya nchi za dunia zilizoendelea sana kiuchumi, kiteknolojia na kisayansi. Ilikuwa nchi ya kwanza nje ya Ulaya iliyofaulu kujenga jamii ya viwanda.
Contents |
[edit] Jiografia
Japani ni funguvisiwa yenye visiwa zaidi ya 3.000 mbele ya pwani la Uchina, Korea na Urusi (Siberia).
Visiwa vikubwa na muhimu zaidi ni vinne tu ndivyo Honshu, Hokkaido, Shikoku na Kyushu. Safu ya milima inapita visiwa vyote vikubwa na kusababisha msongamano makubwa ya wakazi katika miji kutokana na uhaba wa ardhi ya kukalia. Hali halisi Japani yote ni safu ya milima tu inayopanda juu kutoka msingi wa bahari na vilele vya milima yake huonekana juu ya uso wa bahari kama visiwa vikubwa au vidogo.
Kijiolojia eneo hili liko kwenye mstari ambako mabamba ya gandunia ya Ulaya-Asia, Pasifiki na Ufilipino hukutana. Hii ni sababu ya kuwepo kwa volkeno 240 katika Japani na takriban 40 kati ya hizo ni hai pia kutokea kwa matetemeko ya ardhi ya mara kwa mara. Hivyo Japani ni sehemu ya pete la moto la Pasifiki linalozunguka bamba la Pasifiki.
Japani inapatwa kila mwaka na dhoruba kali aina ya taifuni. Hata tsunami (ni neno la Kijapani) ni kawaida. Nchi inajikinga na mitambo mengi ya kutoa taarifa ya tsunami kuanza pia mitambo ya kufunga milango ya mabandari.
[edit] Miji
Wajapani wengi hukalia sehemu ndogo ya 10% za nchi. Kuna miji kumi yenye wakazi zaidi ya milioni moja. Miji mikubwa ni Tokyo, Yokohama, Nagoya, Osaka, Kyoto, Kobe, Hiroshima, Fukuoka, Kitakyushu, Sendai na Sapporo. Usafiri ndani ya Japani ni hasa kwa treni, mabasi na ndege. Treni ya Shinkansen visiwani Honshu na Kyushu ni kati ya treni zenye mkasi mkubwa duniani.
[edit] Mikoa
- Tazama pia: Mikoa ya Japani
[edit] Historia
[edit] Uchumi
[edit] Utamaduni
[edit] Dini
Makala hiyo kuhusu "Japani" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Japani kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |