Visiwa vya Solomon
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: To Lead is to Serve (Kuongoza ni kuhudumia) | |||||
Wimbo wa taifa: God Save Our Solomon Islands Mungu abariki Visiwa vyetu vya Solomon |
|||||
Mji mkuu | Honiara |
||||
Mji mkubwa nchini | Honiara | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Elizabeth II wa Uingereza Nathaniel Waena Manasseh Sogavare |
||||
uhuru tarehe |
7 Julai 1978 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
28,896 km² (ya 142) 3.2% |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
478,000 (ya 167) 17/km² (ya 189) |
||||
Fedha | Dollar ya Solomoni (SBD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+11) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .sb | ||||
Kodi ya simu | +677 |
Visiwa vya Solomon ni nchi ya visiwani ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki upande wa mashariki ya Papua Guinea Mpya. Eneo lake ni visiwa mnamo 1000 vyenye 28,400 km². Mji mkuu ni Honiara kwenye kisiwa cha Guadalcanal.
Visiwa vimekaliwa tangu miaka mielfu na Wamelanesia. Katika karne ya 19 vimekuwa koloni ya Ujerumani na Uingereza. Wakati wa vita kuu ya pili ya dunia mapigano makali kati ya Japani na Marekani yalipigwa hapo.
Visiwa vimepata uhuru 1978.