Volta (mto)
From Wikipedia
Mto wa Volta | |
---|---|
|
|
Chanzo | maungano ya mito ya Muhun, Nazinon na Nakambe karibu na mji wa Salaga (Ghana). |
Mdomo | {{{mdomo}}} |
Nchi | Ghana |
Urefu | 2,574 km pamoja na tawimto wa Muhun (Volta Nyeusi) |
Kimo cha chanzo | 180 m kwenye maungano ya mito |
Volta ni mto muhimu wa Afrika ya Magharibi. Inaanza katika maungano ya tawimito yake ya Muhun (Volta nyeusi), Nazinon (Volta nyekundu) na Nakambe (Volta nyeupe) karibu na mji wa Salaga / Ghana.
Katika Ghana boma la lambo la Akosombo (Ghana) limesababisha kutokea kwa ziwa la Volta ambalo ni lambo kubwa kabisa duniani. Baada ya kuondoka katika ziwa hili lisilo asilia Volta inaingia katika Ghuba ya Guinea ya bahari Atlantiki.