Ghana
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Freedom and Justice (Uhuru na Haki) | |||||
Wimbo wa taifa: God Bless Our Homeland Ghana (Mungu aibariki nchi yetu ya Ghana) | |||||
Mji mkuu | Accra |
||||
Mji mkubwa nchini | Accra | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri John Agyekum Kufuor |
||||
Uhuru kutoka Uingereza |
6 Machi, 1957 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
238,540 km² (ya 79) 3.5 |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
22,409,5721 (ya 52) 88.2/km² (ya 83) |
||||
Fedha | Cedi (GHC ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC) no (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .gh | ||||
Kodi ya simu | +233 |
||||
1 note: 1.) Note: makadirio ya idadi ya wakazi yameangalia matokeo ya vifo vingi kutokana na UMKIMWI. (makadirio ya Julai 2005) |
Ghana ni nchi iliyoko Afrika ya Magharibi. Ni nchi ya kwanza kupata uhuru Afrika. Ilipata uhuru mwaka 1957 toka kwa Waingereza ikiongozwa na rais wake wa kwanza, Kwame Nkrumah. Mji mkuu ni Accra.
Ghana inapakana na nchi ya Cote d'Ivoire upande wa magharibi, Burkina Faso upande wa kaskazini, Togo upande wa mashariki, na Guba ya Guinea katika mwambao wa kusini.
[edit] Historia
Jina la "Ghana" limechaguliwa kutokana na jina la dola la Ghana lililotawala katika eneo la Mauretania na Mali kati ya 750-1240 BK. Hakuna uhusiano kati ya Ghana ya kihistoria na Ghana ya leo. Ghana ilikuwa nchi ya kwanza ya kiafrika iliyochagua jina la kihistoria -wakati mwingine bila kujali sana uhusiano wa kihistoria- kwa kusudi la kuacha nyuma majina ya kikoloni.
Sehemu ya Afrika ya Magharibi penye Ghana ya leo iliitwa "pwani la dhahabu" (Gold Coast) katika lugha za Ulaya kwa sababu Wareno na Waholanzi walinunua hapa dhahabu. Waingereza walichukua utawala wa pwani lile katika karne ya 19 wakaita eneo la pwani "Koloni ya Pwani la Dhahabu". Mwaka 1947 waliunganisha koloni na maeneo ya Ashanti na Kaskazini pamoja na Togo ya Kiingereza kwa jina la "Pwani la Dhahabu".
[edit] Viungo vya Nje
Makala hiyo kuhusu "Ghana" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Ghana kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |