Washington (maana)
From Wikipedia
Washington ni jina linalotaja mahali na watu mbalimbali duniani.
Jina limejulikana hasa kutokana na mji mkuu wa Marekani, yaani Washington D.C., na rais wa kwanza wa nchi ile, George Washington.
Washington (jimbo) ni jimbo la Marekani kando la Pasifiki.
[edit] Miji
- Washington (Tyne and Wear) nchini Uingereza (mahali walikotoka mababu wa rais George Washington)
- miji inayoitwa Washington katika Argentina, Aruba, Bolivia, Kanada, Kolombia, Kuba, Jamhuri ya Dominika, Guyana, Eire, Nikaragua, Ufilipino, Afrika Kusini, Jamaika, Brazil
- miji 40 inayoitwa Washington katika Marekani
- wilaya 31 zinazoitwa Washington nchini Marekani
[edit] Watu
- Washington imetumika kama jina la kwanza pia jina la familia
[edit] Vingine
Kuna pia meli, vyuo, barabara, milima na visiwa vinavyoitwa kwa jina hilo.