Aruba
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: "Kisiwa chenye heri" | |||||
Wimbo wa taifa: Aruba Dushi Tera | |||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Oranjestad |
||||
Mji mkubwa nchini | Oranjestad | ||||
Lugha rasmi | Kiholanzi, Papiamento1 | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba |
||||
Uhuru |
|||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
193 km² () - |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
103.484 (ya 195) 571/km² (ya 18) |
||||
Fedha | Florini ya Aruba (AWG2 ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
AST (UTC-4) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .aw | ||||
Kodi ya simu | +297 |
Aruba ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi karibu na pwani la Venezuela. Inajitawala kama nchi mwanachama katika Ufalme wa Uholanzi lakini si sehemu ya Uholanzi.
Watu wa Aruba walielekea kwa uhuru wa kisiasa katika miaka ya 1980 na 1990. 1986 ilipata madaraka yote ya kujitawla chini ya taji la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa 1996 lakini serikali ya Aruba iliomba kutoendelea na mipango hii.
Wakazi ni mchanganyiko wa Maindio, Wazungu na pia Waafrika. Watumwa Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya Karibi kwa sababu kisiwa haikuwa na mashamba mengi ya miwa kutokana na ukame wa mahali.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Aruba" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Aruba kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Categories: Mbegu | Karibi | Aruba | Uholanzi