Bolivia
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Kihispania: ¡Morir antes que esclavos vivir! ("Heri kufa kuliko kuishi kama watumwa") |
|||||
Wimbo wa taifa: Bolivianos, el hado propicio | |||||
Mji mkuu | La Paz, Sucre[1] |
||||
Mji mkubwa nchini | Santa Cruz | ||||
Lugha rasmi | Kihispania, Kiguarani, Kiquechua, Kiaymara | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri Evo Morales |
||||
Uhuru Kutoka Hispania |
6 Agosti 1825 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,098,581 km² (ya 28) 1.29% |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
9,182,000 (ya 84) 8,280,184 8.4/km² (ya 210) |
||||
Fedha | Boliviano (BOB ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
— (UTC-4) — (UTC?) |
||||
Intaneti TLD | .bo | ||||
Kodi ya simu | +591 |
Bolivia (jina latokana na Simon Bolivar) ni nchi isiyo na mwambao wa bahari katika Amerika Kusini. Imepakana na Brazil, Paraguay, Argentina, Chile na Peru.
Nchi inakatwa na safu mbili za milima ya Andes zenye kimo hadi 6500 m juuy a UB. Nyanda za juu (Kihisp.: "Altiplano") zinakaliwa na wakazi wengi (80%) ziko kwenye kimo cha 3.000 hadi 4.000 m. Altiplano ni takriban theluthi moja ya eneo la nchi; sehemu nyingi ni tambarare ya "llanos" ambayo ni nchi ya chini yenye joto ambayo ina sehemu mbili: savana kavu za Gran Chaco na misitu minene ya beseni ya Amazonas.
Ziwa la Titicaca liko kwenye Altiplano.
Bolivia ni kati ya nchi maskini zaidi za Amerika Kusini. Tofauti na nchi nyingine wakazi asilia (Waindios) ni sehemu kubwa ya wananchi.
Makala hiyo kuhusu "Bolivia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Bolivia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |