Albert Abraham Michelson
From Wikipedia
Albert Abraham Michelson (19 Desemba, 1852 – 9 Mei, 1931) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Tafiti zake ziliweka msingi kwa nadharia ya Albert Einstein (Relativity Theory). Pia aliboresha vipimo vya mwendo wa nuru. Mwaka wa 1907 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.