Dzaoudzi
From Wikipedia
Dzaoudzi ni mji kwenye kisiwa cha Pamanzi (Kifaransa: Petite-Terre) katika eneo la ng’ambo la Ufaransa la Mayotte. Ina wakazi 10,792 (mwaka 1999)
Dzaoudzi ilikuwa mji mkuu wa Mayotte hadi 1976 lakini makao ya utawala ilipelekwa Mamoudzou kwenye kisiwa kikuibwa cha Mahore (Kifaransa: Grande-Terre).