Guatemala
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Kihisoania: El País de la Eterna Primavera (maana yake: "Nchi ya Kivuli cha Milele") |
|||||
Wimbo wa taifa: Himno Nacional de Guatemala | |||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Guatemala City |
||||
Mji mkubwa nchini | Guatemala City | ||||
Lugha rasmi | Kihispania (rasmi) (lugha za asili 23 zimetambuliwa rasmi lakini mambo yote huendeshwa kwa Kihispania) |
||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri ya kirais Óscar Berger |
||||
Uhuru Tarehe |
Kutoka Hispania Septemba 15, 1821 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
108,890 km² (106th) 0.4 |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
12,800,000 (70th) 134.6/km² (85th) |
||||
Fedha | Quetzal (GTQ ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-6) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .gt | ||||
Kodi ya simu | +502 |
Guatemala ni nchi ya Amerika ya Kati. Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Atlantiki upande wa Mashariki, tena na nchi za Mexiko, Belize, Honduras na El Salvador.