Sigrid Undset
From Wikipedia
Sigrid Undset (20 Mei, 1882 – 10 Juni, 1949) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Norwei. Hasa aliandika riwaya ambazo ndani yake alijishughulikia na matatizo ya wanawake wa kisasa. Mwaka wa 1928 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.