Guam
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: "Where America's Day Begins" | |||||
Wimbo wa taifa: Fanohge Chamoru | |||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Hagatna (Agana) |
||||
Kijiji | Dededo | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza, Kichamoru | ||||
Serikali
Rais
Gavana |
Eneo la ng'ambo la Marekani George W. Bush Felix Perez Camacho |
||||
Eneo la ng'ambo la Marekani Koloni ya Hispania Koloni ya Marekani Eneo la ng'ambo la Marekani |
1668 1898 1949 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
543.52 km² (ya 192) ‘‘(kidogo sana)’’ |
||||
Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
170,000 (ya 186) 307/km² (ya 37) |
||||
Fedha | US Dollar (USD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
Chamorro Standard Time (UTC+10) -- (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .gu | ||||
Kodi ya simu | +1-671 |
Guam (Kichamoru: Guåhan) ni eneo la ng'ambo la Marekani (U.S. Territory of Guam) katika kusini ya funguvisiwa ya Mariana ya Bahari ya Pasifiki. Huhesabiwa kati ya visiwa vya Mikronesia.
Eneo la kisiwa ni 543 km³. Mji mkuu ni Hagåtña (Agana). Uchumi wa Guam umetegemea kituo cha kijeshi cha Marekani pamoja na utalii.
Wakazi wa kwanza wanaojulikana ni Wachamoru. Tangu 1668 visiwa vya Mariana vilikuwa kolonia ya Hispania. Baada ya vita ya Marekani dhidi Hispania Guam ikatwaliwa na Marekani. Kaskazini ikauzwa kwa Ujerumani na kuwa Mariana ya Kaskazini. Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia kisiwa kikatwaliwa na Japani. 21 Julai 1944 Waamerika walirudi na kuwafukuza Wakapani. 1949 Kisiwa kikapewa hali ya Eneo la ng'ambo la Marekani wakazi wake wakapewa uraia.