Mkoa wa Iringa
From Wikipedia
Mkoa wa Iringa ni moja kati ya mikoa 26 za Tanzania. Imepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Singida na Dodoma.
Mwaka 2002 palikuwa na wakazi 1,495,333 [1] katika wilaya zifuatazo: Iringa Kijijini (wakazi 245,623), Mufindi (wakazi 283,032), Makete (wakazi 106,061), Njombe (wakazi 420,348), Ludewa (wakazi 128,520), Iringa Mjini (wakazi 106,668), na Kilolo (wakazi 205,081).
Makao makuu uko Iringa mjini.
Wenyeji wa mkoa ni hasa kati ya makabila yafuatayo: Wahehe, Wabena na Wawanji.
|
|
---|---|
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Iringa | Kagera | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |