Mkoa wa Mara
From Wikipedia
Mkoa wa Mara ni kati ya mikoa 26 ya of Tanzania. Musoma ndipo makao makuu ya mkoa.
Mara imepakana na mikoa jirani ya Mwanza na Shinyanga upande wa kusini, Arusha upande wa kusini-mashariki, Kagera kwa njia ya Ziwa Nyanza Viktoria na Kenya upande wa mashariki.
Idadi ya wakazi ni 1,368,602 (2002). Makabila ni mengi kama vile Waluo, Wajita, Waruri, Wazanaki, Wakuria, Wakabwa, Wakiroba, Wasimbiti, Wangoreme, Wakwaya, Waikoma, Wanata, Waisenye, Waikizu, Wasizaki, Wasukuma and Wataturu.
Kuna Wilaya za Bunda, Serengeti,Tarime, Musoma mjini na Musoma vijijini.
Sehemu kubwa ya Hifadhi ya Wanyama ya Serengeti zimo ndani ya Mkoa wa Mara.
[edit] Viungo vya nje
- (en)Mara Region Homepage for the 2002 Tanzania National Census
- (en)Tanzanian Government Directory Database
|
|
---|---|
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Iringa | Kagera | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |