Mkoa wa Pemba Kaskazini
From Wikipedia
Kaskazini Pemba mi moja ya mikoa 26 za Tanzania. Iko katika sehemu ya kaskazini ya Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Tanzania.
Makao makuu ya mkoa ndipo Wete. Mkoa una wilaya mbili tu, Wete na Micheweni.
[edit] Ona pia
|
|
---|---|
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Iringa | Kagera | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |