Euro
From Wikipedia
Euro ni pesa ya pamoja katika nchi za Ulaya. Tangu 2002 nchi 13 za EU zilifuta pesa yao ya kitaifa na kutumia Euro.
Euro moja ina senti 100. Kuna pesa ya karatasi za € 5 (kijivu), € 10 (nyekundu), € 20 (buluu], € 50 (machungwa), € 100 (kijani), € 200 (njano), € 500 (nyekundu).
Kuna sarafu 8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2.
Pesa ya karatasi inatolewa na benki kuu ya Ulaya ni sawa kote. Sarafu zinatolewa na nchi wanachama zinatofautiana upande moja. Sarafu zote hutumika kote.
[edit] Ishara ya Euro
Ishara ya Euro ni herufi ya Kigiriki epsilon (E) nyenye mistari miwili ya kulala: €.
[edit] Nchi wanachama wa Euro
- Austria
- Ubelgiji
- Ufini
- Ufaransa
- Ujerumani
- Ugiriki
- Ueire
- Italia
- Luxemburg
- Ureno
- Hispania
- Uholanzi
- Slovenia
Nchi zifuatazo hutumia pia Euro kama pesa ya pekee bila kuwa sehemu za mapatano:
- San Marino
- Vatikan
- Monako
- Andorra
- Kosovo
- Montenegro
Pesa za nchi zifuatazo zimeungwa na Euro:
- Kabo Verde - escudo
- Komori franc
- Afrika: nchi za CFA franc
- Bosnia-Herzegovinan convertible mark
- Moroko dirham
- Bulgarian lev
- Hungaria forint
- Denmark krone
- Cyprus pound
- Estonian kroon
- Lithuanian litas
- Latvian lat
- Malta lira
- Slovakian koruna
[edit] Viungo vya Nje
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Euro" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Euro kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Categories: Mbegu | Pesa | Ulaya