Gerhart Hauptmann
From Wikipedia
Gerhart Hauptmann (15 Novemba, 1862 – 6 Juni, 1946) alikuwa mwandishi wa michezo ya kuigiza na mshairi kutoka nchi ya Ujerumani. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake "Wafumaji" (kwa Kijerumani Die Weber) iliyotolewa mwaka wa 1892. Mwaka wa 1912 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.